Mashabiki wa timu mbali mbali za ulaya wakifuatilia mtanange wa
Manchester United na Mancherster City uliofanyika jumatatu ya wiki hii
katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na kampuni
ya simu ya Airtel. Katika mechi hiyo Man City waliibuka kidedea cha
kushinda kwa bao 1-0.
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Manchester United wakiwa hawaamini
kinachotokea wakati timu hiyo ilipofungwa na mahasimu wao Manchester
City goli moja kwa bila.
Mshereheshaji wa mechi hiyo akigawa zawadi kwa mashabiki.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)