Shindano la Miss Nyamagana 2012/2013, linatarajiwa kufanyika usiku wa
Jumamosi ya terehe 02 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Jijini
Mwanza. Takriban warembo 25 wamejitokeza katika shindano hilo, huku
idadi ya warembo kujaza fomu za ushiriki ikiongezeka kila kukicha.
Mazoezi kwa warembo yataanza rasmi tarehe 14 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza. Kwa mawasiliano ya udhamini na ushiriki kwa warembo piga namba 0717 557 220, 0764 088 48.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)