Wakili
Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao
makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru
Magharibi Joshua Nassari(Chadema) alipojisalimisha Polisi baada ya
kutakiwa kujisalimisha
Mbunge
wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(Chadema) akisalimiana na Kaimu
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa leo katika
makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa,alipojisalimisha baada ya
kutakiwa kuripoti kituoni hapo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)