LIBENEKE MPYA TOW...LIBENEKE LINALISIMAMIWA NA PRESETER MKALI TOKA SUPER
BRAND RADIO CLOUDS FM ADAM MCHOMVU AKA BABA JONII SASA INAPATIKANA
ONLINE MASAA 24 IKIWA NA HABARI MOTOMOTO,BEAKIN NEWS,JONII ZOTE NA U
HEEEEARD ZA KILA SIKU ZINAPATIKANA KILA SIKU NA KILA UTAPOIFUNGUA
UTASIKIA SAUTI YA JONII IKIWA NA GRAPHICZ ZA HATARI ZIKIWA ZINASIMAMIWA
NA KINGKAPITA KAMA ADMINISTRATOR MKUU,
NYIMBO MPYA,VIDEO MPYA,MATUKIO YOTE MAKALI,PICHA YA WEEK,NA MATANGAZO KIBAO YA SHOW ZINAZOENDELEA TOWN...
LIBENEKE INAITWA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)