Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye hivi sasa ni Kaimu Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela, Said Amanzi (kulia), akikata utepe ikiwa ni ishara
kuzindua vyoo vya Shule ya Sekondari Wasichana Bwiru, Mwanza juzi,
vilivyokarabatiwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa
gharama ya sh. mil.18. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa
TBL, Steve Kilindo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye hivi sasa ni Kaimu Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela, Said Amanzi (kulia), akimshukuru Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo,
baada ya kuzindua vyoo vya Shule ya Sekondari Wasichana Bwiru, Mwanza
juzi, vilivyokarabatiwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa
gharama ya sh. mil.18.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)