Mfanyabiashara Mashuhuri Mustapha Sabodo akizungumza na Wajumbe wa
Baraza Kuu la Chadema katika Hoteli ya Mbezi Garden tarehe 29April 2012.
Sabodo pamoja na mambo mengine amesema Chadema sio Chama cha Udini na
atakijengea Ofisi ya Kisasa. Source Wavuti.Com
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)