MSANII LINEX WENGI WANAPENDA KUMWITA "MJEDA" AMEACHIA NGOMA YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "AIFORA', IKIWA NI SINGLE YAKE YA 3 KUACHIA MWAKA HUU TANGU UANZE, NGOMA YAKE YA KWANZA KUACHIA ILIKUWA "MACHO YANGU JUU" BAADA YA HII AMEACHIA SINGLE NYINGINE INAITWA "NITAIFICHA WAPI"
SINGLE AMBAYO AMEMSHIRIKISHA MSANII DIAMOND AMBAYO INAFANYA VIZURI
SASAHIVI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO, LINEX AMEACHIA MZINGO
MWINGINE MATATA SANA.....HAKIKA WIMBO HUU UKIHUSIKIA UTAKUKUNA
SANA....WIMBO AMBAO UTAKUJA KUFANYA VIZURI SANA WIMBO HUU MPYA AMBAO
UNAITWA "AIFORA" UMESIMAMIWA NA PRODUCER ANAYEITWA "FUNDI SAMWELI". HAYA KAZI KWENU WASIKILIZAJI NA MASHABIKI WA "MJEDA LINEX" NA MKAE MKAO WA KUSUBIRI VIDEO YAKE YA WIMBO HUU AIFORA..!
WIMBO :- AIFORA
MTAYARISHAJI WA MUZIKI :- FUNDI SAMWELI
MSANII : LINEX
BY OWEN
WIMBO :- AIFORA
MTAYARISHAJI WA MUZIKI :- FUNDI SAMWELI
MSANII : LINEX
BY OWEN
Linex - Aifora Aifora |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)