Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mchango wa
Shilingi Milioni Moja, Mkurugenzi wa Kikundi cha Zanzibar One Taarab
Ustadhi Abdulla Ali{ Du } kufuatia ahadi yake aliyoitowa 21/4/2012 wakati wa kilele cha
Maadhimisho ya kutimia miaka mitano ya Kikundi hicho yaliofanyika katika
Ukumbi wa Bwawani , makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi ya Makamu
Vuga,.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu wa Pili Wa Rais Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)