Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dodoma Spurs Ilipokua ikifanya mazoezi kabla ya mechi yake dhidi ya timu ya mpira wa kikapu ya Kitivo cha Elimu UDOM katika ligi ya mpira wa kikapu iliyofanyika mwishoni mwa wiki
Timu ya Mpira wa Kikapu ya Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Dodoma ikifanya mazoezi kabla ya mechi yake katika ligi ya mpira wa kikapu iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya mpira wa kikapu Chuo Kikuu Cha Dodoma
Timu ya CBE Dodoma ilipokua ikipambana na timu ya Dodoma Spurs mwishoni mwa wiki katika ligi ya mpira wa kikapu iliyofanyika katika viwanja vya mchezo huo katika Chuo Kikuu cha Dodoma
Timu ya Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wakipeana maelekezo kabla ya Mechi yao katika ligi ya Mpira wa Kikapu iliyofanyika Mwisho mwa wiki ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
Wapenzi wa Mpira wa Kikapu wakifuatilia Mechi za ligi wa mpira wa kikapu mwishoni mwa wiki katika kiwanja kilichopo UDOM
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)