Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara
maalum Profesa Mark Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue.Na watatu kulia ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson
Mdemu.
Profesa Mwandosya akipokea miongozo ya kazi baada ya
kula kiapo ikulu leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza na
kumtakia mafanikio Profesa Mwandosya muda mfupi baada ya kumuapisha ikulu
jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsaidia Waziri wa nchi
katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalumu Profesa Mark Mwandosya kushuka
katika ngazi za ikulu baada ya kumuapisha leo asubuhi.
Waziri Profesa Mark Mwandosya akiwa katika mazungumzo
na Rais Dkt.Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kula kiapo ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)