TBL YAMZAWADIA GARI NA BABAJI WAKALA BORA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TBL YAMZAWADIA GARI NA BABAJI WAKALA BORA TANZANIA

Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini ya Mbali,  James Kavuma (katikati), akimkabidhi ufunguo wa Bajaj, Augustine Kisinja baada ya kushinda uwakala bora wa bia za TBL nchini katika hafla iliyofanyika mjini Makambako, mkoani Njombe hivi karibuni. Pia Kisinja alizawadiwa gari aina ya Jac Canter lenye thamani ya sh. milioni 47.
Meneja wa Kampuni ya bia TBL kanda ya Kusini,  James Kavuma, aliyekaa kulia akiwa na mshindi wa Gari na Bajaj Bw. Augustine Kisinja, katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake wakati wa makabidhiano hayo katika mji wa Makambako.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages