NAFASI YA KAZI - KUPIGA PICHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAFASI YA KAZI - KUPIGA PICHA

Kuna nafasi ya kazi
Kwa mtu yoyote anaeweza kupiga picha kutumia professional Cameras.
Nafasi hiyo ipo kuanzia tar 1 June 2012

Sifa za muombaji:
1. Awe flexible kusafiri sehemu yoyote, ndani na nje ya nchi akitakiwa kufanya hivyo
 
2. Awe na valid passport
3. Awe amewahi kufanya kazi hiyo kwa muda usiopungua mwaka 1.
4. Asiwe amewahi kufanya kazi kwenye kampuni yoyote ya magazeti ya udaku nchini.
 
5. Haijalishi gender, awe mwanamke au mwanaume
6. Umri usiozidi miaka 40.
7. Awe sharp, sio mzubaifu
8. Afanye kazi kutokana na maelekezo atakayopangiwa

Maombi yalioambatana na vithibitisho vilivyotajwa hapo juu
Yafikishwe NYUMBANI LOUNGE
82 ADA ESTATE, KINONDONI. DSM

Au yatumwe kwa e-mail: judyjaydee@yahoo.com

Vigezo na masharti kuzingatiwa, bila kujali kujuana.
Nafasi nyingine ya kazi kwa kijana mwingine mmoja wa Tanzania.
Kila kheri

Jay Dee

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages