MAMLAKA YA VITAMBULISHO YAFANYA UZINDUZI WA UTOAJI WA VITAMBULISHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMLAKA YA VITAMBULISHO YAFANYA UZINDUZI WA UTOAJI WA VITAMBULISHO

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya Taifa Bw.Dickson Maimu Akiongea na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari waandamizi leo makao makuu ya mamlaka ya vitambulisho vya Taifa jijini Dar es salaam, kuhusu kusitishwa kwa muda wa uzinduzi wa utoaji vitambulisho vya Taifa uliokuwa ufanyike mapema mwezi huu, ili  kuyafanyia kazi mapendekezo ya wadau yaweze kuingia kwenye mfumo.hata, Hivyo Bw.Dickson Maimu amesema mradi umekamilika ila zimejitokeza changamoto na mahitaji ya msingi kutoka kwa wadau muhimu wa vitambulisho vya Taifa kwa hiyo mamlaka haina budi kuyafanyia kazi ili kitambulisho kiwe kimekidhi maitaji yote ya msingi.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo leo katika makao makuu ya mamlaka ya vitambulisho vya taifa jijini Dar es salaam.(PICHA NA PHILEMONI SOLOMON)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages