MSHINDI WA PIKIPIKI PROMOSHENI YA VUMBUA DHAHABU CHINI YA KIZIBO WAPEWA ZAWADI ZAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSHINDI WA PIKIPIKI PROMOSHENI YA VUMBUA DHAHABU CHINI YA KIZIBO WAPEWA ZAWADI ZAO

Meneja wa bia ya Serengeti premeum lager Allan Chonjo akimkabidhi kadi ya usajili wa pikipiki kwa mshindi wa Vumbua hazina chini ya kizibo bw.Ibrahim Kimambo mkazi wa tabata Dar aliyejinyakulia pikipiki
Mshindi wa pikipiki katika promotion ya vumbua hazina chini ya kizibo inayoendeshwa na kampuni ya bia ya sere ngeti Ibrahim Kimambo akiwa amepanda juu ya pikipiki, kulia ni meneja wa bia ya Serengeti lager Allan Chonjo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages