Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma
amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya
nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)