Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA,
Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa Uresco saccos na wananchi
waliohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos hiyo eneo la
Mikocheni tarehe 5.5.2012.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi
wa Uresco saccos katika sherehe zilizofanyika katika ofisi za saccos
hiyo zilizoko huko Mikocheni. Mama Salma ni mmoja wa wanachama wa
saccos hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba
iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa
Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaam tarehe 5.5.2012.
Baadhi ya wanachama wa Uresco Saccos wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi
Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos yao
huko Mikocheni tarehe 5.5.2012. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama
wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini
Dar es Salaam tarehe 5.5.2012.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)