Redds Miss Ustawi wa
Jamii 2012, Hilda Edward katikakati akipunga mikono baada ya kufanikiwa kutwaa
taji hilo usiku wa kuamkia leo katika Shindano kali lililofanbyika katika
Ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni Mshindi wa Pili na
watatu wa shindano hilo Nancy Wiliam na Ndenisia Mbowe. Washindi hawa
wataungana na washindi wa Vyuo vingine katika Fainali za Redds Vyuo vya Elimu
ya Juu Baade mwaka huu na kupata mshindi atakae wakilisha wasomi hao Fainali za
Redds Miss Tanzania 2012
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)