LIVE TAIFA HAPATOSHI MUDA HUU KUNA WATU WENGI SANA WANANGOJEA MPAMBANO SASA
Hivi ndivyo uwanja wa Taifa ulivyo furika muda huu
Hapa Shabiki wa Simba akionesha katuni lake la mmyama live Muda huu
Mwanachama Mkubwa wa Simba Gadner Dibibi akiwa na mwanachama mwenzake Neshno muda huu wakionesha idadi ya magoli leo.(Picha na Ahmad Michuzi)








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)