Infomatic washindi wa jumla Bonanza la Exel with Grand Malt mkoani Morogoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Infomatic washindi wa jumla Bonanza la Exel with Grand Malt mkoani Morogoro

 Msanii Joh Makini akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel withgrandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoroambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe
 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati namkurugenzi wa chuo kikuu cha Sokoine Prof Mzanila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Capten wa Timu yaInfomatic Ally Tambala baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguukwenye bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt mkoaniMorogoro ambapo ilishirikisha pia chuo kikuu cha Mzumbe,Kushoto ni msanii waHip hop Joh Makini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages