Rais Jakaya Mrisho Kikwete maombolezo ya Marehemu Deokalyus Makwasinga,
ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya
gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii
imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya
kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa
heshima zao za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa
dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku
sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani
kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda
kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa mjane wa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam.shughuli hii imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi. PICHA NA IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)