Spika wa Bunge Mhe. Anne Mkainda akimsikiliza kwa makini Balozi wa
Canada hapa nchini Mhe. Robert Orr alipomtembelea ofisini kwake leo.
Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kwa lengo la Kumuaga.
Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Mohamed
Seif Khatibu akifafanua jambo mbele ya Mhe. Spika wakati kamati hiyo
ilipokutana na Mhe Spika kujadili maswala mbalimbali yanayohusu kamati
hiyo. kulia kwa Mhe. Spika ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Edward
Lowasa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)