Mchezaji wa Chuo Kikuub cha UDOM , Morgan Asantaakipiga mpira wakati
wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya Dodoma michezo hiyo
inadhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager
inaendelea
Refa wa mchezo akiwapatia maelezo wachezaji kabla ya mchezo
Baadhi ya washabiki na wana vyuo Vikuu vya Dodoma wakifatilia mchezo wa pool leo
Mchezaji wa chuo cha Maendeleo ya Vijiji 'MIPANGO' Ibrahimu Juma
akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa Pool
yanayodhaminiwa na SAFARI lAGER
Mchezaji wa chuo cha UDOM Justine Oresther akijaribu kupiga mpira
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)