Mkurugenzi
wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (kulia)
akimkabidhi Muhagachi Chacha, Laptop, baada ya kupata dhamini wa
kusomeshwa na TCRA Masomo ya uhandisi wa Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (ICT) jumla ya wanafunzi Nane Jumla ya wanafunzi Nane
kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam,wamenufaika naufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi
watakapohitimu masomo yao.
Mkurugenzi
wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (wa pili
kushoto) akiwaonyesha komputa baadhi ya wanafunzi waliopata ufadhili
wakusoma uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) Jumla
ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam,wamenufaika naufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi
watakapohitimu masomo yao ya Uhandisi Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano .
Mkurugenzi
wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (wa Nnekutoka
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa waliofanikiwa
kupata ufadhiliwa Kusoma masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
(ICT) akiwaonyesha matumiziya Kompyuta baada ya kuwakabidhi
zawadihiyo. Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika naufadhili huo wa kusomeshwa
na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)