Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
akisoma hotuba yake wakati akifungua mkutano wa siku nne wa
kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu
mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika leo, katika Chuo kipya cha
Jeshi National Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la
Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. akisoma hotuba.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati Makamu wa Rais Dkt Bilal, akifungua mkutano huo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Liutenant General wa Jeshi la Bangladesh, M F
Akbar, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Meja General Charles Lawrence Makakala,
baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu
baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi.
Ufunguzi huo umefanyika leo , katika Chuo kipya cha Jeshi National
Defence College (NDC) kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, wakati akiondoka katika
Chuo cha Mafunzo ya Jesho cha National Defence College (NDC).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya
kuufungua rasmi leo.
Wasanii wa kundi la JWTZ wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)