Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane
Pamoja Foundation’, Joha
Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka
miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee,
jana.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akimkabidhi zawadi ya ua mwananmitindo maarufu, Mustafa Hassanali.
Mama Asha Bilal, akiwa ameketi na wenyeji wake katika hafla hiyo.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea
kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation,
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana.
MBunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na vazi la Harusi kwa mikogo, wakati
wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya
Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Diambond Jubilee, jana.
Mke
wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samue
Sitta, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla
hiyo.
Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla hiyo. |
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wsanachama wa Taasisi ya
Tushikamane Pamoja Foundation, wakati wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)