DW- Radio Swahili Yafanya Mahojiano Maalum na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Richard Muyungi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DW- Radio Swahili Yafanya Mahojiano Maalum na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Richard Muyungi

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi katika mahujiano maalum ya kipindi cha Radio idhaa wa kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais,  Bw. Richard Muyungi katika mahujiano maalum Mtangazaji Sudi Mnete (kulia) katika kipindi cha Radio katika idhaa wa kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.Picha na Evelyn Mkokoi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages