Anitha Mbowe ashinda taji la Redd's Miss Njiro usiku huu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Anitha Mbowe ashinda taji la Redd's Miss Njiro usiku huu

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiouryxqNU7KO25RqdL65k0yuYES1P06V6k1-Rzj_fzgAK5YWclCpwVwKP7h02RO2gsTslJZilldGkjMTEMAvNUF9GyMQwWpAdfm1QMnpt_9gPGDtq3-S4wHKy89fKq07_-rrZR0J7-hGa6/s1600/21.jpg 
Redd's Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili,Winmava John (kulia) na wa Tatu,Husna Ally mara baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Klabu Triple A,Jijini Arusha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmL9fUQueZn2fGSUP297iWx-qsP2r4hEy4vYQsVBqik6cb1JjBy_gs0pketMTQdQNyntyzAzr5CuldF4sah_RZGAa5WQFStCMlrNKXiHpc4xFUYNjHKTRxL2xnf5dFzU4GKt9m1Vsqh0mx/s1600/18.jpg  
Kipindi cha Maswali na Majibu kwa washiriki walioingia tano bora.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages