Mchungaji Tito Kiame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu Patrick Mafisango - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mchungaji Tito Kiame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu Patrick Mafisango

Mchungaji Tito Kiame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu Patrick Mafisango. Kushoto ni mmoja wa viongozi wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange akiwa na viongozi wengine wa klabu hiyo wakati wa kuaga mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages