Ajali ya basi, lilikuwa likitokea Moshi
kuelekea Arusha hakuna tu aliyekufa zaidi ya majeruhi kadhaa
waliokim,bizwa hospitalini, Ajali ilitokea umbali mchache kabla ya
kuingia Mji wa Boma Ng'ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro jana.Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)