Baazi ya Viongozi wa mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa wakiwa pamoja na waamasishaji wa mchezo huo katika Mkoa wa Iringa
Mchezaji wa Mchezo wa Pool chuo cha RUCO ,Alen Masebo akijitaarisha
kupiga mpira wakati wa mashindano ya Vyuo vikuu vya Iringa.
Naibu Meyaq wa Mkoa wa Iringa Gervas Ndaki kulia akisalimiana na
washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo
yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari
Lager
Raphael John wa chuo kikuu Tumaini Iringa akijataalisha kupiga mpira
wakati wa mashindano ya pool kwa vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Leo Picha na www.burudan.blogspot.com





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)