Mbunge wa Chadema, Kigoma Kaskazini, Zitto Zuber Kabwe
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa zamani wa Bunge la Marekani,
Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich (kulia) muda mfupi baada ya kufanya
mzungumzo na kujadiliana masuala mbalimbali ya Siasa na maendeleo kwa Ujumla
baina yao ikiwa ni katika kudumisha ushirikiano bainba ya wana Siasa Duniani.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)