MenejaUhusiano
wa Airtel Jackson Mmbando akifafanua jambo kwa waandishi wa
Habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel
‘AIRTEL SUPA 5’itakayotoa ofa tano kuwafaidisha wateja kuongea kwa NUSU
Shilingi kwa sekunde siku nzima kwa marafikiAirtel-Airtel, pia wateja
wote wataongea kwa ROBO Shilingi kwa sekunde usiku kucha
Airtel-Airtel,kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima endapo mteja atatuma
SMS10 tu kwa30Tshs, facebook bure pamoja na kuburudika intaneti ya bure
usiku mzima kwawateja wote watakaojiunga na OFA hii ya Airtel SUPA 5 kwa
kupiga *149*99#.Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko Airtel Cheikh Saar na
Meneja masokoAirtel Rahma Mwapachu (wakwanza kushoto) hafla hiyo ya
uzinduziilifanyika jana katika ofisi za Airtel Makao makuu .
Airtel
Tanzania Marketing Director Cheikh Sarr speakingwith Journalist ( not
pictured) during the launchof a new service ofAirtel 'SUPA 5, the
services launched today will allowAirtel customers to call for half
Shilling 24 hrs 7 days a week to preferrednumbers, enjoy night calls at
quarter a shilling, Send 10 SMS at Tshs 30 andget 200 free, free
facebook browsing as well as free night time Internet, forall Airtel
customers enrolled into the service by dial *149*99#, right isAirtel
Public Relations Manager Jackson Mmbando and Airtel Marketing
ManagerRahma Mwapachu (left). To subscribe to the services customer will
need to dial*149*99#,
MenejaMasoko
wa Airte Bi Rahma Mwapachu akifafanua jambo jinsi ya kupatafacebook
bure kupitia ofa za AIRTEl SUPA 5 mbele ya waandishi wa Habari
(hawapopichani) wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya ya Airtel ‘AIRTEL
SUPA 5’itakayotoa ofa tano kuwafaidisha wateja kuongea kwa NUSU
Shilingi kwa sekunde siku nzima kwa marafikiAirtel-Airtel, pia wateja
wote wataongea kwa ROBO Shilingi kwa sekunde usiku kucha
Airtel-Airtel,kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima endapo mteja atatuma
SMS10 tu kwa30Tshs, facebook bure pamoja na kuburudika intaneti ya bure
usiku mzima kwawateja wote watakaojiunga na OFA hii ya Airtel SUPA 5 kwa
kupiga *149*99#.
Ongeakwa NUSU Shilingi kwa sekunde siku nzima kwamarafiki Airtel-Airtel
Ongeakwa ROBO Shilingi kwa sekunde usiku kucha Airtel-Airtel
Pata SMS 200 Bure Siku Nzima endapo utatuma SMS10 tu kwa 30Tshs
PeruziInternet BURE Usiku Mzima
Kufunguana kuperuzi Facebook bure
Dar
es Salaam, 13 , Mei 2012 Airtel Tanzaniaimezindua ofa 5 kabambe
zitakazowafaidisha wateja wake wanaotumia huduma zao zaIntaneti (Data)
pamoja na huduma ya kawaida ya kuongea na simu pamoja na ile yakutuma
ujumbe mfupi yaani SMS
Kati
ya ofa mpya ziliyozinduliwani pamoja na kumwezesha mteja wa Airtel
kuongea kwa NUSU Shilingi kwa sekunde siku nzima kwa marafiki
Airtel-Airtel,pia wateja wote wataongea kwa ROBO Shilingi kwa
sekundeusiku kucha Airtel-Airtel, kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima
endapo mtejaatatuma SMS10 tu kwa 30Tshs, facebook bure pamoja na
kuburudika intaneti yabure usiku mzima kwa wateja wote watakaojiunga na
OFA hii ya Airtel SUPA 5.
Akitoa
Mchanganuo kuhusu AirtelSUPA 5 Mkurugenzi Mtengaji wa Airtel Bw Sam
Elangalloor alisema “dili hili laofa 5 za ukweli zinalenga kufaidisha
wateja wote wanaotumia huduma za Intanetina kupiga simu kila wakati.
Airtel kipindi hiki tumejipanga kuhakikishatunawapatia wateja wetu
huduma nafuu, bora na zenye ubunifu wa kutosha ilimteja aweze kutimiza
malengo yake,
“leo
ninaona fahari kuzindua OFAtano kabambe za SUPA 5, Jiunge Upate Raha ya
kuwa na mtandao usiofichamambo, Mteja wa Airtel akijiunga na SUPA 5
ataweza kuchagua namba 3 azipendazoau anazowasiliana nazo mara kwa mara
na atakuwa anazipigia kwa ½ shilingi tukwa sekunde siku nzima, pia
ataongea kwa ROBO shilingi tu kwa sekunde kwa simuzote atakazopiga
Airtel-Airtel usiku mzima. kwa wanaopenda kutuma ujumbe mfupiyaani SMS
pia atapata SMS 200 bure mara tu watakapotuma sms 10 kwa Tsh
30,kadhalika huduma ya Internet ni BURE usiku kucha, Vilevile SUPA 5
inakupa uwezowa kuperuzi mtandao wa jamii yaani Facebook kila wakati
BURE” alielezeaBw Elangallor
“Airtel
tunaamini kuwa Ofahizi ni mjumuisho mzuri utakaotoa unafuu kwa wateja
wanaperuzi Interneti nafacebook mara kwa mara kila wakati, wanaopiga
simu pamoja na kutumia ujumbemfupi kwa kuwasiliana na ndugu na marafiki
muda wote” aliongeza Bw,Elangalloor.
Kwa
upande wake Mkurugenzi waMasoko Bw, Cheikh Sarr alisema “ Bado Airtel
tutaendelea kuwapa raha wateja nakutoa unafuu kwa wateja wetu kwa kuwa
Airtel tunasikiliza wateja na kuitikiakutimiza mahitaji yao kwa haraka,
Ninawahakikishia Ofa hizi za Airtel SUPA 5 niza ukweli ‘hakuna ujanja
ujanja’ wala kuficha gharama yoyote kila kitu ni kamaunavyosikia
Ili
mteja uweze kuingia nakutumia huduma hii unatakiwa kujiunga kwa kupiga
*149*99#. Kisha utapata ujumbeutakaokuhitaji kuchagua muda maalum wa
kutumia OFA hii yaani WIKI MOJA auSIKU MOJA, alafu utaweza kujaza namba
zako maalum 3 zandugu, jamaa, au rafiki utakazotaka kuwa unazipigia simu
kwa NUSUshilingi siku nzima ndani ya muda wako wa ofa,
Mbali
na hilo huduma hii ya SUPA5 inatoa nafasi kwa mteja yeyote wa malipo ya
kabla wa Airtel ambaye amejiungalakini pia muda wake ukiisha anaweza
kujiunga tena kwa mara nyingine, lengo ni kumpa mteja wa Airtel nafasi
ya kujiachia kwa unafuu na uhakikazaidi muda wowote na sehemu yoyote
nchini Tanzania
Huduma
ya Airtel SUPA 5 ni yakudumu, lengo lake ni kutimiza mahitaji ya wateja
wetu nchini bila kujali ainaya simu anayotumia huku tukitoa mawasiliano
bora kupitia mtandao wetu ulioneakila mahali nchini Tanzania.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)