Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kifafanua jambo alipokutana na kufanya mazungumzo
na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, DK.Charles Kimei (wapili
kushoto), Ofisini kwake jijini Dar es salaam, kuhusiana na masuala
mbalimbali yanayohusu benki hiyo. Pia CRDB walimkabidhi Waziri Mkuu
hundi ya sh. milioni 5 kwa ajili ya kusaidia Mfuko wa Elimu Tanzania.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)