UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI MARA-MUSOMA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI MARA-MUSOMA.

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa, akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Mara Musoma.
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Kapteni mstaafu Godfrey Ngatuni (kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoa wa Mara Musoma .Kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa na Meneja masoko wa Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki
Meneja mauzo wa kanda ya Ziwa, Malaki Staki akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo
Wasanii wa Kampuni ya Intergrated wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoa wa Mara Musoma
Meza kuu wakigonganisha chupa kuashilia uzinduzi huo.
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa (kushoto) akigonganisha chupa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages