Huyu
ndiye Diamond mwingine hakunaga, akielekea kupanda helikopta kwenda
viwanja vya Dar Live kufanya makamuzi jana Jumapili, 29 April 2012
Hapa nimemkubali maana hakuna kitu muhimu kama kujikabidhi mikononi mwa Mungu kabala ya kufanya jambo lolote
Helikopta ikingia uwanjani hapo chezeaaa
Dar Live palikuwa hapatoshi
Helikopta ikamshushua ka kuondoka zake
Diamond akimsalute rubani wake na Mwenyezi Mungu kwa kumfikisha salama
Nimpende nani? Nimpende nani? hahaha nawaza kwa sauti tu
full mzuka
Mambo ya mavazi ya Diamonda na dancers wake naona yalikuwa ni mwendo wa US Marine Style.SOURCE: GPL TANZANIA NA JESTINA GEORGE BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)