Soko la feri upande wa kukaangia samaki limeshika moto leo tarehe
4/4/2012 asubuhi katika muda wa saa nne (4) mpaka sita (6) nakulazimu
gari la zima moto yaani fire kuja kuuzima moto huo ambao ulikuwa
unaendelea kuzimwa na wananci wengi ambao ni wachuuzi wa samaki sokoni
hapo. Hata hivyo haikujulikana ni hasara kiasi gani imesababishwa na moto huo na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katikla tukio hilo
Moto ukiendelea kuunguza soko hilo leo asubuhi.Picha na Hassan Mabuye
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)