Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana
Paul Polman ikulu jijini Dar Es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul
Polman ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)