Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri ikulu
jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za
Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye
mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)