-Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam ikulu jijini
Dar es salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa
Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam baada ya Rais kufanya
naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)