Ofisa Mauzo
wa Bohari ya Dawa (MSD), Freddy Fundi (kulia) akisikiliza maswali kuhusu
dawa zinazosambazwa na Bohari hiyo kwa wadau wake hasa hospitali, vituo
vya afya na zahanati nchini
wakati wa semina ya wadau wa kanda ya Dar es Salaam ambayo inajumuisha
mikoa wa Pwani, Zanzibar, Pemba, Morogoro na Dar es Salaam. (Picha na
John Nditi).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)