UJERUMANI YAIPA TANZANIA EURO MILIONI 176 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UJERUMANI YAIPA TANZANIA EURO MILIONI 176 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph Mohs kulia.wakisaini msaada wa EURO 176 million kutoka serikali ya ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini Tanzania.ulofanyika jana  katika ukumbi mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es salaam.
Katibu mkuu wa Wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na
Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki  wa Jumuiya ya Ulaya Dr Ralph Mohs kulia.wakikabidhiana nyaraka za mkataba wa msaada huo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika utiaji saini wa mkataba huo
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah akiwa kwenye picha ya pamoja na waakilishi wa Tanzania na Ujerumani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages