MPAKA NAINGIA MTAMBONI KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII UDOM KINAONGOZA KWA VIKAPU 20 KWA 10 DHIDI YA TIMU YA DODOMA WARRIORS KATIKA LIGI YA KIKAPU MKOANI DODOMA MIDA HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MPAKA NAINGIA MTAMBONI KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII UDOM KINAONGOZA KWA VIKAPU 20 KWA 10 DHIDI YA TIMU YA DODOMA WARRIORS KATIKA LIGI YA KIKAPU MKOANI DODOMA MIDA HII

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Kitivo Cha sayansi ya Jamii ikiingia uwanjani tayari kwa mechi yake dhidi ya timu ya Dodoma Warriors katika mechi ya ligi ya kikapu inayoendelea tena mida katika Viwanja vya kitivo hiko cha Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM)
Timu ya Dodoma Warriors wakiongea na Kocha wao katika mechi inayoendelea Mida hii katika viwanja vya kitivo cha Sayansi ya Jamii Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
Mchezo ukiendelea kati ya Timu ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Dodoma warriors mpaka naingia mtamboni Timu ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii (UDOM) inaongoza kwa Vikapu 20 kwa 10 dhidi ya dodoma warriors katika mchezo wa ligi ya kikapu Dodoma
Wadau wakifuatilia Mechi kati ya Dodoma Warriors na Timu ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii sanaa na lugha cha UDOM mechi inayofanyika katika Viwanja vya Kitivo cha sayansi ya Jamii Muda huu
Haya wengine wakishangilia kupitia kwenye madirisha ya vyumba vyao wakati mechi ikiendelea mida hii
Makamisaa wakiongea na Marefarii wa Mechi hiyo kati ya Kitivo cha sayansi ya jamii dhidi ya Dodoma Warriors unaofanyika katika Viwanja Vya Kitivo Hiko ndani ya UDOM

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages