SIDO YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SIDO YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bi. Mwamtum Mahiza akiongea na waandishi wa habari jana Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuhusu hali ya usafi katika jiji la Dar es salaam ambayo imekuwa hairidhishi kwa muda mrefu hali hiyo imesababishwa na wananchi kutozingatia kanuni sheria na taratibu za afya na usafi wa mazingira.
Meneja wa SIDO Bw. Hamuel Meena Katikati akifafanua jambo katika ufungaji wa mafunzo ya wajasiliamali.wakwanza kushoto afisa mradi Care Intenetional Bi; Eunice Mmbando.wapili kulia kitamizi SIDO Bw; Gerge Buchafue. wa nne kulias Katibu Tawala mkoa wa Dar es alaam Bi;Theresia Mmbando.mwisho kulia Meneja Care International Bw;Vedastus Mwita
Wajasiliamali walioitimu mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wahitimu wakifuatilia kwa karibu mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mafunzo hayo
Wahitimu wakifuatilia kwa karibu mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mafunzo hayo.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages