MAMIA WAJITOKEZA KWAAJILI YA SHOW YA WASHINDI WA KILI MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMIA WAJITOKEZA KWAAJILI YA SHOW YA WASHINDI WA KILI MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA

Mamia ya Wananchi wakiwa kwenye foleni tayari kuingia ndani kwaajili ya Show ya washindi wa Kili Music Awards inayofanyika katika uwanja wa jamhuri mkoani Dodoma Mida hii
Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa Wamejitokeza katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma kwenye Show ya Washindi wa Tuzo za kilimanjaro musics awards 2012
Mshindi wa Kilimanjaro Star Search Issa akiwa Jukwaani huku akishusha burudani kwa wapenzi wa Muziki wakiojitokeza kushuhudia Tamasha kubwa la Washindi Wa Tuzo za Kili Musics Awards 2012
Mshiriki wa Shindano la Kili Star Search akitoa Burudani katika show ya Washindi Wa Kili Music Award 2012 katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma 
Kutoka Kulia ni Mshindi wa Kwanza wa Kilimanjaro Issa Kutoka Pande za UDOM na Mshiriki wa BSS 2008 ameshinda kwenda kurekodi nyimbo zake na gharama hizo zitalipwa na Kilimanjaro, wa pili ni Juma na Mwisho ni Alice
Issa Mshindi wa Kwanza wa Kili Star Search akipongezana na Mshindi wa Pili wa Kili Star Searc 2012 katika Show ya washindi wa Tuzo za Kili zinazoendelea kufanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages