Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitia saini mkataba wa makubaliano ya
ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo leo Aprili 28, 2012 katika hoteli
ya Ngordoto jijini Arusha.
Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakionesha hati baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya
ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo leo Aprili 28, 2012 katika hoteli
ya Ngordoto jijini Arusha.
Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakikaribishwa chakula cha mchana na Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Richard Sezibera baada
ya picha ya pamoja kufuatia kutia saini mkataba wa makubaliano ya
ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo leo Aprili 28, 2012 katika hoteli
ya Ngordoto jijini Arusha.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)