Mbunge
Mteule wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akifanya mazoezi ya
kula kiapo Bungeni mjini Dodoma jana mchana baada ya kuhairishwa kwa
kikao cha asubuhi cha Bunge. Mbunge huyo na mwenzake Cecilia Paresso
wote wa Chadema walishindwa kutokea jana baada ya kuitwa na Spika wa
Bunge Anna Makinda tayari kwa kula kiapo. Kwa ratiba iliyopo wabunge hao
watakula kiapo leo katika kikao cha asubuhi.Picha kwa hisani ya MO BLOG
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)