MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI NCHINI KWA KUPANDA MITI ENEO LA MAKAZI YA MAKAMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI NCHINI KWA KUPANDA MITI ENEO LA MAKAZI YA MAKAMU

  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akipanda mti leo, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimwagilia maji mti baada ya kupanda leo, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages