Meneja
wa mradi wa Mwei kutoka Vodacom Tanzania, Mwamvua Mlangwa
,akimkabidhi Radhia Abdalah ambaye ni mmoja wa akina mama
wajasiriamali wa kikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlandizi mkoa wa
Pwani.Jumla ya akina mama 425 wamekopeshwa MWEI zaidi ya shilingi
Milioni 30, ambazo hazina riba yoyote.
Baadhi
ya akina mama wajasiriamali wa kutoka vikundi mbalimbali katika kijiji
cha Kilang langa Mlandizi wakiwa na watoto wao wakimsikiliza Mkuu wa
Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza,(hayupo pichani) wakati akitoa maelezo
namna ya kuweza kutumia vizuri mikopo waliyopewa na Vodacom kupitia
mradi wa Mwei .Jumla ya akina mama wajasiria mali 425 walinufaika na
mkopo usiokuwa na liba wa zaidi ya shilingi milioni 30
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akimkabidhi fedha mmoja
wa akina mama wajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga cha
Mlandizi,Fedha hizo zilitolewa na Vodacom kupitia mradi wake wa MWEI kwa
ajiri ya kusaidia akina mama wajasiriamali. Jumla ya akina mama 425
wamenufaika na mkopo huo wenye thamani zaidi ya Sh Milioni 30. Katikati
ni Meneja mradi wa Mwei Mwamvua Mlangwa na Kulia ni Diwani wa kata ya
Janga Mlandizi Fedilia Simba.
Baadhi ya akina mama wajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga
kilichopo Mlanzidi mkoani Pwani ,wakifurahia kupata mikopo isiyo na
riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI.Jumla ya akina
mama 425 wamenufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 30.
Meneja
mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa wa Vodacom, akimkabidhi mkopo wa fedha
Mwanaid Khamisi, ambaye ni miongoni mwa akina mama wajasiria mali 425
kutoka vikundi mbalimbali katika kijiji cha Kilangalanga Mlandizi.
Walionufaika na mkopo wa zaidi ya Sh Milioni 30.katikati ni mratibu wa
mradi wa MWEI Mbuyu Ally.
Mratibu
wa mradi wa MWEI wa Vodacom Tanzania Mgongo Emmanueley akitoa
ufafanuzi kwa akina mama wajasilria mali wa vikundi mbalimblai kutoka
katika kijiji cha Kilangalanga cha Mlandizi kabla ya kuanza kuwakabidhi
mikopo isiyo na riba kwa ajiri ya kuweza kuendeleza biashara zao,jumla
ya akina mama 425 walinufaika mkopo wa zaidi ya shilingi Milioni 30.
Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akifafanua
jambo kwa akina mama wajasiliamari,kuhusiana na matumizi ya mikopo
waliyopewa kwa vikundi mblimbali vilivyopo katika kijiji cha
Kilangalanga Mlandizi wakati walipokuwa wakisubiria kukabidhiwa mikopo
isiyo na liba kutoka Vodacom kupitia mradi wake wa MWEI. Jumla ya akina
mama 425 walinufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi Milioni 30.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantunu Mahiza akimpongeza Meneja mradi wa Mwei kwa
jitihada zake za kuwawezesha akina mama wajasiria mali ,wakati wa hafla
ya kutoa mikopo kwa vikundi mbalimblai vya akina mama wajasiliamali
kutoka katika kijiji cha Kilangalanga Cha Mlandizi. Jumla ya akina mama
425 walinufaika na mkopo usio na riba wa Sh Milioni 30.kulia ni Diwani
wa Kata ya Janga Fedilia Simba na Afisa wa mradi wa MWEI Kombo





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)