UPDATE ZA MATOKEO YA AWALI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE HUKO ARUMERU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UPDATE ZA MATOKEO YA AWALI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE HUKO ARUMERU

Matokeo kutoka kwa mtandaoni

1.leganga kituo cha kwanza CDM 126 CCM 26... tunaelekea kituo cha pili kata ya leganga

2. Usa river sokoni CDM - 103 CCM -29 kituo cha pili CDM 88 – CCM 41
3. USA SOKONI.

CDM-103
CCM-29
KITUO B.
CDM-88
CCM-41

4. Source Mlimani TV.
Liganga A-CCM=26 : CHADEMA=114
B-CCM=27 : CHCDEMA =137
USA RIVER "A" -CCM 37: CHADEMA= 111
USA RIVER "B" -CCM 37: CHADEMA= 111
5. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37
magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26
maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53
6. TENGERU - KITUO CHA CHAMA.
CDM-192
CCM-60
Ushirika
CDM-116
CCM-56
Moivaro B
CDM-149
CCM-34

7. Maji ya chai kituo A CDM 130 CCM 53 kituo b CDM 105 CCM 68 kituo C CCM 42 CDM 115 kituo D ccm 53 CDM 118 E CCM 60 CDM 105

8. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37
magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26
maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53

9. kituo cha S/M Ambrenyi,Matokeo:: kura zilizoharibika -1,CCM-48,CHADEMA-182.

10. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111

11. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111

12. Kituo A kilichoko Inguseni kata ya kitatiti CDM 104 na CCM 52
13.Leganga shule ya msingi 146CDM,20CCM.

14. CDM wanaongoza hata nyumbani kwa mgombea wa CCM; Patandi kata ya Akeri.

Kituo A CCM49 - CDM 120 Kituo B CCM 50 - CDM 128 Kituo C CCM 50 CDM 127 Kituo D CCM 45 - CDM124

15. MATOKEO YA AWALI ARUMERU MASHARIKI

kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74
Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

1 comment:

  1. Anonymous10:52 PM

    Matokeo yako based on April 01 Fool's Day!!
    Vituo vya kupigia kura havijatoa matokeo yoyote yale licha ya Tume!

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages