Hapa Kifusi Ndipo kilipoanza Kumwagwa Katika Kituo Cha Ddalada Cha Jamatini Kilichopo Mkoani Dodoma mchana wa Leo
Moja ya Lori La kubebea Mchanga likimwaga kifusi katika kituo cha daladala cha jamatini kilichopo mkoani dodoma mchana huu kwaajili ya kufukia madimbwi ya Maji yaliyotuama mara baada ya mvua kunyesha
Vijana Wakifukia Mashimo yaliyojaa Maji mara baada ya mvua kunyesha katika kituo cha daladala Cha Jamatini kilichopo mkoani Dodoma.Kituo Hiki kila mara mvua inaponyesha huwa wanafukia mashimo kwa kifusi badala ya kukikarabati kituo hiko kitu ambacho watumiaji wa kituo hiko kulalamika kila mara kwamba wanatozwa ushuru lakini hawaoni unafanya kazi gani.
duh!!!! huo ndio utaratibu kila mwaka mvua zinaponyesha kituo lazima kijae tope, sijui ni lini wataamua kuwa serious na kuondoa hali hiyo moja kwa moja
ReplyDelete